All

All

#bongomovies News|RACHEL YUPO HONEYMOON MOROGOROOO!

#bongomovies News|RACHEL YUPO HONEYMOON MOROGOROOO!

MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood Rachel Bitulo yupo mkoani Morogoro kikazi akirekodi filamu inayokwenda kwa jina la Honeymoon huku yeye akiwa kinara wa sinema hiyo akishirikiana na staa kibao wa Mkoani humu amesema Rachel Bitulo staa wa filamu ya Nimekosea wapi? “Kwa sasa nipo busy sana kwani narekodi filamu ya huku Morogoro […]

122 total views, 2 views today

#bongomovies News|KUSHUKA KWA SOKO LA FILAMU BONGO MCHAWI NANI?

#bongomovies News|KUSHUKA KWA SOKO LA FILAMU BONGO MCHAWI NANI?

TAKRIBANI miaka miwili sasa hali ya soko la Filamu imekuwa ikisuasua lakini kwa mwaka huu 2017 limedorora kabisa huku wasanii wakiwa katika wakati mgumu sana kwani hawana tena kipato kinachotokana na kazi yao ya kazi yao ambayo ni uigizaji na kumekuwa na fikra tofauti lakini ukweli ni upi? Kuna baadhi ya watazamaji na hata wasambazaji […]

90 total views, 2 views today

#bongomovies News|Huko Kwenye filamu za Kibongo Hakukaliki

#bongomovies News|Huko Kwenye filamu za Kibongo Hakukaliki

FILAMU za Kibongo kwa sasa zimedorora sana. Takriban miaka miwili hali ya soko la filamu hizo imekuwa ikisuasua, lakini kwa 2017 limedorora kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hata wasanii wake wanaishi kwa kubangaiza. Wasanii wa Bongo Movie, JB ,Ray na Marehemu Kanumba Kipato kupitia tasnia hiyo kimekuwa muhali, kiasi cha kuleta mashaka makubwa kwa baadhi […]

176 total views, 4 views today

#bongomovies News|Bond Afungukia Kukamatwa Kwake

#bongomovies News|Bond Afungukia Kukamatwa Kwake

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Bond Bin Suleiman, amefungukia kukamatwa kwake kwenye ishu ya ujambazi na kudai kuwa aliponzwa na rafi ki yake aliyekuwa hafahamu anajishughulisha na kazi gani. Akizungumza na Wikienda, Bond alisema kuwa, yeye ni msanii na anakutana na watu wengi kama ilivyo kwa wasanii na kilichomkuta kinaweza kumkuta msanii yeyote kwani hukutana […]

136 total views, 2 views today

#bongomovies News|Mike Ezuruonye, Davina… One, Two… Tunajaribu!

#bongomovies News|Mike Ezuruonye, Davina… One, Two… Tunajaribu!

UTAMU kolea! Soko la filamu nchini linaendeleza juhudi za kujitanua kimataifa baada ya mwigizaji kutoka Nigeria, Mike Ezuruonye kutua nchini kwa ajili ya kucheza sinema na wasanii wa Bongo Muvi. Mike Ezuruonye, Davina na Leonard Swachkid Ujio wake ni mwaliko kutoka kwa staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya a.k.a Davina ambaye alichipushwa na Kundi la […]

126 total views, no views today

#bongomovies news|Barnaba: Sina Mpango na Kolabo ya Nje

#bongomovies news|Barnaba: Sina Mpango na Kolabo ya Nje

MSANII wa Bongo Fleva, Elias Barnaba, amesema hana mpango wa kufanya kolabo na msanii wa nje kwa sasa kwa kuwa bado anajipanga vizuri kisanaa. Alisema si kwamba anaogopa ila kwa upande wake anaona bado anahitaji kujipanga zaidi ili atakapoamua kufanya kolabo yoyote iwe kubwa kama alivyorekodi na msanii wa Uganda, Jose Chameleone. “Muziki hautaki kubahatisha, […]

200 total views, no views today

#bongomovies News|DUMA: Ninayo Siri ya Kuikomboa Bongo Muvi

#bongomovies News|DUMA: Ninayo Siri ya Kuikomboa Bongo Muvi

MSANII wa filamu anayepanda kwa kasi Bongo, Daud Michael ‘Duma,’ amesema anaifahamu siri inayowafelisha wasanii wengi Bongo siku hadi siku kiasi kwamba kwa sasa tasnia ya filamu inaonekana kupoteza mvuto. Akipiga stori na Uwazi Showbiz , Duma ambaye muda mwingi anapenda kuutumia kufanya mazoezi ya kazi zake za filamu, alifunguka kuwa kinachowafelisha wasanii wengi wa […]

150 total views, no views today

#bongomovies News|Rose Ndauka kutoa deal kwa wasanii wa filamu

#bongomovies News|Rose Ndauka kutoa deal kwa wasanii wa filamu

Kampuni ya Ndauka Advert ya malkia wa filamu Rose Ndauka ikishirikiana na African Swahili TV Machi 9,10 itafanya usahili katika ukumbi wa Kijiji cha Makumbusho kwajili ya kuwapata wasanii ambao watashiriki kwenye tamthilia mpya itwaayo ‘How Cheat?’. Muigizaji huyo amewataka wasanii wakubwa kwa wadogo kuchangamkia fursa hiyo ili kujipatia ajira pamoja na kukuza vipaji vyao. […]

234 total views, no views today

#bongomovies News|Idris Sultan: Mimi na Wema Sio Maadui

#bongomovies News|Idris Sultan: Mimi na Wema Sio Maadui

Idris Sultan amedai kuwa hana uadui na ex wake Wema Sepetu – bado kwa mbali wana ushkaji. Idris na Wema Sepetu Mchekeshaji na mtangazaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa huzungumza na ex wake huyo mara chache kwa sasa. “Unajua sipendi unafiki nikasema ‘ahh tunaongeaga, mbona washkaji tu tuko peace sana’ hapana sio kihivyo,” amesema Idris. “Unakuta […]

154 total views, no views today

#bongomovies News|Jacqueline Wolper Akerwa na Harmorapa

#bongomovies News|Jacqueline Wolper Akerwa na Harmorapa

STAA wa fi lamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameeleza kukerwa na mwanamuziki chipukizi, Athuman Omary ‘Harmorapa’ aliyesema amewahi tokamak naye kimapenzi jambo ambalo siyo kweli. Akichonga na Mikito Nusunusu Wolper alisema mwanamuziki huyo ambaye ameimba kwenye wimbo wake wa Kiboko ya Mabishoo kuwa ameshatoka naye kimapenzi amemkosea heshima na hata alivyousikia wimbo huo umemshangaza kwa […]

290 total views, no views today

1 2 3 64