Actors

Actors

#bongoMovies News | Lucy Komba azichapa Ulaya kisa, wivu

#bongoMovies News | Lucy Komba azichapa Ulaya kisa, wivu

Msanii wa kitambo kunako filamu za Kibongo, Lucy Komba anayeishi Finland kwa sasa, amezichapa ‘live’ na rafiki yake kipenzi, Edina John huku kisa kikitajwa ni wivu wa mapenzi. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mashosti hao, kilimwaga ubuyu kuwa mapema mwezi huu, Lucy alimualika rafiki yake huyo nyumbani kwake kwa ajili ya kubadilishana mawazo […]

418 total views, 2 views today

#bongomovies News | Chuchu, Johari wamaliza bifu

#bongomovies News | Chuchu, Johari wamaliza bifu

Chuchu Hans Mayasa Mariwata,RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Habari mpya mjini kwa sasa ni kuwa wale mahasimu wawili wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao ni mastaa wenye majina makubwa katika kiwanda cha filamu nchini, wamemaliza tofauti zao na sasa ni mashostito wakubwa, Risasi Mchanganyiko lina ubuyu mzima. Chanzo cha kuaminika kililiambia […]

324 total views, 2 views today

#bongomovies News | Mahakama yafungukia kibali cha Lulu kwenda Nigeria

#bongomovies News | Mahakama yafungukia kibali cha Lulu kwenda Nigeria

Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba ukweli. Hivi karibuni Lulu alikwenda nchini Nigeria kuhudhuria Tuzo za African […]

294 total views, no views today

#bongomovies News | Tuzo Ya Lulu yamliza mama Kanumba

#bongomovies News | Tuzo Ya Lulu yamliza mama Kanumba

DAR ES SALAAM! Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Filamu Afrika Mashariki, iliyotwaliwa na Mbongo, chozi mama wa aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, tambaa na Risasi Mchanganyiko liujaze moyo wako. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mama Kanumba, muda mchache baada ya Lulu kutangazwa na waandaaji wa tuzo ambao ni […]

530 total views, 2 views today

#bongomovies News | Kama Kweli ni Mkorogo…! Daktari: Ray kupata Magonjwa 10 Hatari

#bongomovies News | Kama Kweli ni Mkorogo…! Daktari: Ray kupata Magonjwa 10 Hatari

Na Mwandishi Wetu, AMANI DAR ES SALAAM: Lile sakata la nyota wa sinema Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kudai kwamba, siku hizi amekuwa mweupe pee kwa sababu ya kunywa sana maji na kufanya mazoezi, limechukua sura mpya kufuatia daktari mmoja jijini Dar kusema mwongozo huo ni upotoshaji mkubwa, Amani linakupa zaidi. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi, daktari wa kituo cha kutoa huduma za afya kilichopo Kimara jijini Dar, […]

438 total views, 4 views today

#bongomovies News | Filamu Zetu Zinapotushawishi ‘Tunywe Maji Mengi’

#bongomovies News | Filamu Zetu Zinapotushawishi ‘Tunywe Maji Mengi’

NAWASALIMU wapendwa wasomaji wa gazeti hili, hasa katika kipande hiki ambacho kinatupa wasaa za kuzungumzia masuala kadha wa kadha katika nyanja ya filamu hapa nchini. Nimekuwa nikiandika mambo mengi katika eneo hili na kwa hakika baadhi ya wadau wamekuwa na mrejesho mzuri kuhusu mada ninazoziandika. Yapo mengi ambayo yanaendelea kwenye filamu zetu na nimekuwa nikiyaeleza […]

326 total views, 2 views today

#movies news | filamu fupi ya maisha ya Victor Wanyama

#movies news | filamu fupi ya maisha ya Victor Wanyama

STAA wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars pamoja na Timu ya Southampton, Victor Wanyama ameteka ‘headlines’ katika Ulaya baada ya kutoka kwa filamu fupi inayoonesha safari ya maisha yake. Katika filamu hiyo iliyopewa jina la The Lion Of Muthurwa inamuonesha Wanyama (24), akiitwa kwa mara ya kwanza kwenye timu ya taifa (Harambee Stars) […]

408 total views, 4 views today

#bongomovies | Tiko: Ubonge nyanya unaninyima raha

#bongomovies | Tiko: Ubonge nyanya unaninyima raha

Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan anatia huruma baada ya kuibuka na kusema kuwa unene unaomuandama unamnyima raha kwani kila kukicha anazidi kuongezeka. Akizungumza na Ijumaa Tiko alisema kuwa, watu wengi wakimuona wanamshangaa mpaka anajisikia vibaya lakini hana njia ya kufanya ili ajipunguze kwani ameshahangaika kwenye majumba yote ya mazoezi ‘gym’ lakini hajafanikiwa. “Mimi […]

258 total views, 2 views today

#bongomovies | Watch Bichwa Maji

#bongomovies | Watch Bichwa Maji

Casts : Haji Salum Adam Rehema Gabriel Iman Ikunji Clemence Herman Angelina Benny Daud Mpoli Fatuma Feruzi Faustina Jemsi Veneranda Peter Nance Mfuru Noor Mohamad Juma Alicom. WATCH NOW  496 total views, no views today

496 total views, no views today

#bongomvies News | Lulu Adaiwa Kulipiwa Mahari

#bongomvies News | Lulu Adaiwa Kulipiwa Mahari

Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni mwa wiki iliyopita na watu ambao alisema hajui lengo lao, habari ya heri ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, (pichani) anaelezwa kuwa kwenye shamrashamra za ndoa baada ya kudaiwa kulipiwa mahari na mfanyabiashara maarufu jijini Dar (jina linahifadhiwa kwa sasa). Lulu   […]

358 total views, no views today

1 2 3 34